captain zaka
JF-Expert Member
- Apr 19, 2025
- 262
- 258
Habari Ndugu Nina ndugu zangu waarabu wamepata tenda uko kwao ya kupeleka ndizi kwa maana ya export kwenda nje ya nchi za uarabuni na wamenieka mimi kuwa mtu kati yao niwasaidie na tunagawana percent ila sina ninachojua kwenye uandaaji na packaging ili zifike salama ninachojua ni ndizi zinapopatikana na hata wanahitaji kwa kilo na mimi sina uzoefu huo najua kwa mkungu tu ila nikaamua kuvaa dili hilo maana hakuna wanaemuamini zaidi yangu yan n bahat imekuja...namimi wanajua kaz yangu ni sokon mabibo sehem ndizi zinapatikana kwa wingi kwahio wanataka tu force , Kama upo Dar na ni mzoefu kweny hizi kazi nitumie message tuwasiliane pia ntakuajiri katika mambo ya packaging na uandaaji
La Pili ; Boxi za packaging ni za aina gan na zinauzwa wapi na nn kitafanya ndizi isiweze kuharibika ni dawa gani inatumika
La Pili ; Boxi za packaging ni za aina gan na zinauzwa wapi na nn kitafanya ndizi isiweze kuharibika ni dawa gani inatumika
