Msaada: Ananihudumia, nimeenda kuoa sijui nimwambiaje!

Amongst few dumbest people in this planet you are one of them
And sijui wataka kushauriwa nini
 
Endelea na huyo uliyemuoa ila mahari yake umeenda kulipia kwa mwanamke mwingine 🤣🤣
Hiki ni kati ya vitu vibaya vyenye kuleta laana maishani mwake amekifanya.
Huyu hana akili wala utu.
Sawa na mwanamke anaye chukua pesa kwa mwanaume na kwenda kuonga mwanaume mwingine.
Familia yake na huyo mkewe haitakuja kupata amani wala mafanikio.
Tukio lenyewe limekaa kichai chai tu Nini uzushi.
 
Mwambie ukweli kisha uwe nao wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…