Msaada: Ananihudumia, nimeenda kuoa sijui nimwambiaje!

Chai, kama n kwel we ni fala, unakujaje kuomba ushauri wakati umeshafanya maamuzi,
Pili huyo mke wako unaenda kuishi nae wapi wakati kodi analipa mwemye mimba?
acha ushamba fala wewe
 
Abeee kuna jambo gani, tupeane samare
Mwenzetu anahudumiwa huduma zote unazozijua, zingatia huduma zote, kampa ujauzito sponsor , kaenda kujitambulisha, kapewa mahari unajua alichoianyia hiyo pesa? Kaenda kutoa mahari Kwa mwanamke mwingine na kumuoa kimagendo ila kanisani.

Eti amekuja kuomba ushauri afanyaje..au kweli sie ni wuu wuu wuuu?
 
Huyu ni zaidi ya wuuu wuuu wuuu hamna mwanaume wala mwanamke hapo sijui tumpe jinsia gani, napendekeza watu aina hii watafutiwe jinsia yao pliiiiziii
 
Umeshajichanganyaa.. umekula vya watu utavitapika..
 
Unajua maana ya karma? Utajuta hivi karibuni. Hasa baada ya yeyekuhamishia mapenzi kwa mtu mwingine anaeyastahili. Na mtoto atakuambia sio wako.

Amandla...
 
Mrudishie mali zake zote alizokupatia na hixo pesa zake mpatie pia muachane kwa amani, vinginevyo tegemea kisasi ambacho haujui muda wake wala siku.


Kisasi cha mwanamke hakiachagi mtu salama
 
Be a man mwambie ukweli. Tokea mwanzoni kama hukumuhitaji kwanini hukuepuka hilo? Moaka ana mimba yako?

mwambie ukweli lakini prepare kwa lolote maana haitokuwa kazi rahisi. Jilaumu mwenyewe kwenye hili
 
Chukua simu yake,soma meseji zake,..WhatsApp na normal texts..hakosi skeletons...ugomvi uanzie hapo..

Mbinu hii haijawahi kufeli, mwanamke kama humtaki na hujui unamuacha vipi,..chunguza simu yake...
 
Mariyooooo mariyooooo unakula vya watu afu hutak kutimiza ahadi ....... baadae ukiitiwa kina nyundoo mnaaanza kuomba maji tunaonekana watu wabaya.........

Kama humpendi ndugu kapukuuu kwanini ule hela zake ......

Baadae mnaanza kusumbua watu mahakamani jamani nimelatiwa na wasiojulikana kumbe mnakula vya watu
 
Mario on the beat

You shouldn’t have been lying to her all this time. You want to tell her about you marrying someone without hurting her? Wait til she finds out you’ve been using her and lying to her. Why did you think it was ok to play with someones feelings like that? ( subiri kurogwa) Women aren’t made to be toys to play with while you’re grooming another one.
I don’t advise you tumbili mkubwa..😏😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…