Msaada: Ananihudumia, nimeenda kuoa sijui nimwambiaje!

"WEMA NA UBAYA, VYOTE NI MADENI"

Utalipwa tu, MUNGU HAJAWAHI KUSHINDWA.
 
Mkuu angalia usije ukauliwa . USA hata hapo Kwa madiba ukimfanyia hivyo mwanamke anakutafutia hit men for hire unamalizwa faster
 
Umeonesha ulivyo kijana sio mwanaume. Pia bado mshamba wa wanawake. Unatumia pesa ya mwanamke mwingine kuoa mwanamke mwingine utavuna ulichopanda

Kosa ambalo baadhi ya wanaume tunafanya ni kuoa wanawake tunawapenda sana sisi. Mwanaume oa mwanamke anayekupenda zaidi yeye.

Huyo uliyemuoa utarud hapa na unalia. Malipo ni hapa hapa Duniani. Ni suala la muda tu
 
Kwenye miti hakuna wajenzi ndugu ila sikulaumu maana umekosa ushauri,nina hakika utakuja kujitia baadae... Kwa dunia ya sasa kwa wanaume wote oa mtu anayekupenda na kuhofia kukupoteza itakusaidia sana kukutuliza akili yako kuliko kujitafutia matatizo ya kuoa ambao wewe ndo unaonekana unaihitaji sana hiyo ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…