Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Anaibiwa siku,......Mithali 3:16
Ana wingi wa siku katika mkono wake wa kulia, Utajiri na heshima katika mkono wake wa kushoto.
Unapgopa kumuuliza mkeo? Umeshafeli naona umeoa mke halafu unamuogopa.Habari zenu ndugu wana JF,
Kuna mapya nimeyaona baada ya kuingia kwa mara ya kwanza katika ndoa, nimeoa mwanamke kutoka huko Uyaoni Tunduru.
Ajabu yangu ni kwamba mara kadhaa nikistuka usingizini nakuta mke anasugua kiganja changu cha mkono wa kulia na hata nikikunja kiganja kwa mfano wa ngumi huwa anabana katika mshipa wa fahamu baina ya kiganja na mkono mwishowe lazima utafungua ngumi yako na atasugua eneo la kati ya kiganja.
Niliamua kumchunguza kwa muda mrefu haachi na sijui nini maana yake, naomba msaada kujuzwa na mwenye kujua ni nini habari hii, ni nini maana na sababu ya kufanyiwa haya kusuguliwa kiganja!
Ufafanuzi tafadhali,maana kama iko mpaka kwenye maandiko ya Mungu,kuna kitu hapa...Mithali 3:16
Ana wingi wa siku katika mkono wake wa kulia, Utajiri na heshima katika mkono wake wa kushoto.
Minyoo mtafutie mgagi huyoHii kali ila usiku kuna mambo mengi, vipi kuna wengine usiku wanasaga meno hii nayo sababu ni nini?
Dada unaisomaje Biblia ?Mithali 3:16
Ana wingi wa siku katika mkono wake wa kulia, Utajiri na heshima katika mkono wake wa kushoto.
Mgagi ndio nnMinyoo mtafutie mgagi huyo
Shemeji nenda gugo ukapate na picha kabisaMgagi ndio nn
Wewe umeibiwa mara ngapi??Anaibiwa siku,......
Shem uko gugo nimekutana na kina somebode mgagi 😅Shemeji nenda gugo ukapate na picha kabisa