Msaada: Ananisugua kiganja nyakati za usiku nikiwa nimelala

Msaada: Ananisugua kiganja nyakati za usiku nikiwa nimelala

Da! Ndio maana unaambiwa Fanya makosa yote Lakini usikosee wa kuoa au kuolewa naye. Hapa kuna Kila dalili ya ushirikina kufanyika.
 
Yawezekana anakufanyia ushirikina.Mbane vema,umuulize ila kwa amani,ujue kama anakua anakuamsha ule mzigo au laa!
 
Back
Top Bottom