kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Labda alifundwa hivyo, ndio njia ya kumfikisha mwenzako kileleni.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakufa ni mizigo ya umbea...okoka😂😂😂😂 bff we wa kuninyima ubuyu huo?
Acha imani hiyo huyo dada anataka dyudyu🤣Unaoa mtu kutoka tunduru halafu unashangaa kusuguliwa kiganja??na Kwa Nini hasugui Hiko kiganja mchana au kabla hamjalala??hebu ingia kwenye maombi ,Kuna kitu utagundua
Ndio kijijini kwao Tunduru alifundishwa hiyo body language?Acha imani hiyo huyo dada anataka dyudyu🤣
[emoji23][emoji23][emoji23] ya mzee Makamba umeyasikia lakini?Nyie wambea mbea tu mandhani eti Mama hagombei wakati watanzania 99.9999% tunamuunga mkono. Hatuna mtifuano wala nini. Tupo kamili kabisa!
🔨🔨🔨Piga makofi mazito mazito kwenye mashavu, akili itamkaa sawa
Mchawi Mshana Jr weka kideo mwaya[emoji23][emoji23][emoji23] ya mzee Makamba umeyasikia lakini?
Ya SKMG je?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sie wa huku sigimbi tumelishwa sana hizo 🤣🤣🤣🤣Mdogo wangu Half american born town mgagi anaujulia wapi?
Niite nyau nmekaa pale 👉😂😂😂 ntajua tu
Mtoto sausage mayai hawezi kujua mgagiSie wa huku sigimbi tumelishwa sana hizo 🤣🤣🤣🤣
Sina bundle . nitumie niweke[emoji1545]Mchawi Mshana Jr weka kideo mwaya
Wenzie soseji tumezijulia ukubwani 😅😅😅😅 asubuhi unapigwa chai ya mchai mchai na kiporo cha ugali au viazi vitamuMtoto sausage mayai hawezi kujua mgagi
🤣🤣🤣🤣 Tena nina umbea wakoUtakufa ni mizigo ya umbea...okoka😂
😂🤣Ajab angemuuliza angeona majibu hayasomeki ndo angekuja huku kuulizaUjinga mwingine bana, umeshindwa kumuuliza mkeo unatuuliza sisi kama tunasuguliwa wote?!
😂😂😂 wee utaficha ila kazi ipo kwa half lazima aniambieNiite nyau nmekaa pale 👉
Kumbe Hana kifua mxiiu😂😂😂 wee utaficha ila kazi ipo kwa half lazima aniambie