Msaada: Ananisugua kiganja nyakati za usiku nikiwa nimelala

Habari zenu ndugu wana JF,

Kuna mapya nimeyaona baada ya kuingia kwa mara ya kwanza katika ndoa, nimeoa mwanamke kutoka huko Uyaoni Tunduru.

Ajabu yangu ni kwamba mara kadhaa nikistuka usingizini nakuta mke anasugua kiganja changu cha mkono wa kulia na hata nikikunja kiganja kwa mfano wa ngumi huwa anabana katika mshipa wa fahamu baina ya kiganja na mkono mwishowe lazima utafungua ngumi yako na atasugua eneo la kati ya kiganja.

Niliamua kumchunguza kwa muda mrefu haachi na sijui nini maana yake, naomba msaada kujuzwa na mwenye kujua ni nini habari hii, ni nini maana na sababu ya kufanyiwa haya kusuguliwa kiganja!
C umuulize au unamuogopa mkuu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kibo
Kabisa Mkuu, huyo anakuwa hajafikishwa Kibo kwahiyo anamshtua mumewe aendelee kumkuna 😅🙌

Ukikutana na binti wa miaka 21 hadi 28 wanakuwaga na Kiu sana, kwahiyo kama sio mtu wa kazi lazima akusumbue 🤪
 
Sisi hatuwezi kukupa majibu sahihi, mbananishe huyo mkeo akwambie kwanini anasuguaga kiganja chako

Wakati unamuuliza hakikisha una upanga na fimbo mkononi.
 
Habari zenu ndugu wana JF,

Kuna mapya nimeyaona baada ya kuingia kwa mara ya kwanza katika ndoa, nimeoa mwanamke kutoka huko Uyaoni Tunduru.

Ajabu yangu ni kwamba mara kadhaa nikistuka usingizini nakuta mke anasugua kiganja changu cha mkono wa kulia na hata nikikunja kiganja kwa mfano wa ngumi huwa anabana katika mshipa wa fahamu baina ya kiganja na mkono mwishowe lazima utafungua ngumi yako na atasugua eneo la kati ya kiganja.

Niliamua kumchunguza kwa muda mrefu haachi na sijui nini maana yake, naomba msaada kujuzwa na mwenye kujua ni nini habari hii, ni nini maana na sababu ya kufanyiwa haya kusuguliwa kiganja!
anataka gemu
 
Mideko pitia hapa...
9d016c0d8181678b5b780a6cd4afed8d.jpg
 
Back
Top Bottom