Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Nicheki inbox nikupe namba nimpe abc, kama akiwa tayari nimsaidieHabari za muda huu wadau wa JF?
Naomba msaada hapa.
Nina rafiki mmoja ameniomba msaada anataka kununua eneo kwa ajili ya uchimbaji wa dhahabu.
Anapendelea zaidi Geita na maeneo ya Dutwa (kwa kifupi kanda ya ziwa kwa ujumla)
Maeneo gani mazuri yanayotoa dhahabu nyingi?
Pia anaomba kujua Gharama za Upimaji wa eneo husika kujua kiwango cha dhahabu ukoje?
Naomba kupata Mwongozo
Nitamsaidia kwa maana nyingi, ila kabla hajafikiria chochote..tuongee kwanza atazika pesa kama hatokua makini.Nicheki inbox nikupe namba nimpe abc, kama akiwa tayari nimsaidie
Nitumie namba zako PMNitamsaidia kwa maana nyingi, ila kabla hajafikiria chochote..tuongee kwanza atazika pesa kama hatokua makini.
Habari mkuu, akipata eneo kama halijapimwa(coordinates) basi aje tutamfanyia kazi zifuatazo:Habari za muda huu wadau wa JF?
Naomba msaada hapa.
Nina rafiki mmoja ameniomba msaada anataka kununua eneo kwa ajili ya uchimbaji wa dhahabu.
Anapendelea zaidi Geita na maeneo ya Dutwa (kwa kifupi kanda ya ziwa kwa ujumla)
Pia anaomba kujua Gharama za Upimaji wa eneo husika kujua kiwango cha dhahabu ukoje?
Naomba kupata Mwongozo
Mkuu unaweza fafanua how it works.Kuna eneo nimepewa share na nimeelezwa amepatikana mbia na wameshaigia mkataba. Kama unaweza kufafanua zaidi unafanyaje kazi huo ubia. Nimeambiwa Kuna fedha ya meza pia huwa inakuwaje mkuu. TafadhaliSiku hizi watu wengi wameerevuka, si rahisi kuuziwa eneo ambalo tayari limegundulika lina madini, isipokuwa kilichopo wenye/mwenye eneo wanafanya makubaliano na muwekezaji. Mara nyingi muwekezaji anachukua kati ya 70% na 85% ya faida inayopatikana. Kama huyo jamaa atakuwa tayari ninao jamaa zangu wanalo eneo Kanda ya ziwa linafika hekta 22, Karibu
Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
Mikanda mikubwa ipo kwenye ukanda wa milima ya GGM mkuu.Na maeneo hayo GGM ameyafanyia utafiti mkubwa ni jukumu lako kutafuta dataHabari
Vile vile anaweza kuja mbeya, wilaya ya chunya .
Kwa mtazamo wangu Chunya bado haijatumika Sana na gharama za uchimbaji chunya zipo chini Sana kulinganisha na Kanda ya ziwa.
Maeneo ya uchimbaji chunya Ni mengi Sana na hata ambayo Yana milikiwa na watu term and condition ziko vile friendly.
Kanda ya ziwa mkoa gani mkuu?Siku hizi watu wengi wameerevuka, si rahisi kuuziwa eneo ambalo tayari limegundulika lina madini, isipokuwa kilichopo wenye/mwenye eneo wanafanya makubaliano na muwekezaji. Mara nyingi muwekezaji anachukua kati ya 70% na 85% ya faida inayopatikana. Kama huyo jamaa atakuwa tayari ninao jamaa zangu wanalo eneo Kanda ya ziwa linafika hekta 22, Karibu
Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app