Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mwenywe prospecting license (leseni ya uchunguziwa madini ) ndio na hio nguvu leseni zao zinawaruhusu kufanya uchunguzi kwenye maeneo makubwa yanaweza hata kufika ukubwa wa wilaya.Unaweza kukuta Shamba lako mwenyewe lakini unakuta ni Kitalu cha mtuš patamu hapo.
Zipo taratibu baadhi ya izo kuna wadau washazianisha kwenye comment hapo juu akifuata izo na zingine akuna hasara.Kuna mtu anaenda pata hasara
Wakati nimeona Australia kuna Mkulima gesi imepatikana kwenye shamba lake akaingizwa kwenye ubia na Kampuni ya Mwekezaji.Mtu mwenywe prospecting license (leseni ya uchunguziwa madini ) ndio na hio nguvu leseni zao zinawaruhusu kufanya uchunguzi kwenye maeneo makubwa yanaweza hata kufika ukubwa wa wilaya.
Kama eneo lako yamegundulika madini Kuna kuwa na land compassion Yani mwenywe eneo unapewa fungu lako na muwekezaji ukigoma serikali linachukua kwa nguvu
Huku kinachofanyika unaonyeshwa sehemu ya kuchimba/duara na wenye leseni, baada ya uchimbaji and all process utawapa either 15% au zaidi itategemea na makubaliano yenu, lakini haizidi 30% ya utakacho pata. Mimi ni Masumbwe, wilaya ya Mbogwe, mkoa wa Geita.Mkuu unaweza fafanua how it works.Kuna eneo nimepewa share na nimeelezwa amepatikana mbia na wameshaigia mkataba. Kama unaweza kufafanua zaidi unafanyaje kazi huo ubia. Nimeambiwa Kuna fedha ya meza pia huwa inakuwaje mkuu. Tafadhali
Ni Geita mkuu, Wilaya ya Mbogwe, MasumbweKanda ya ziwa mkoa gani mkuu?
naomba mawasiliano yako inbox
Eneo sahihi kabisa. Naomba mawasiliano tuongee