Kazi anayo shostito wake akubaliane na hali tu hakuna namnaPopobawa wanahusika hapa ila sijawahi kusikia wakifunga pingu za maisha. Wao hupiga goli lao kisha kusepa hadi watapopata hamu tena ya kugegeda.
Kazi anayo shostito wake akubaliane na hali tu hakuna namna
Poa best najaujage na huku unapitwaaa Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke
Hiyo ya 2 azidi kuwa na subira na pia azid kumuomba Mungu yote yanawezekana.Ukimaliza Uje na huku STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
Na huku Msaada: Anataka kuolewa na kupata watoto ila hana bwana
Na hapaaa Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke
haya bossNipo mm ula mwambie sina kazi age 30...hata akitaka nimpe tu watt na baada ya hapo nisimsumbue pia sawa tena bureee sitahitaj hata shilingi yake au soda yake...
hayaam interested, mie mwenywe natafuta mwanamke wakuoa
ivo ee? hayaHiyo ya 2 azidi kuwa na subira na pia azid kumuomba Mungu yote yanawezekana.
Ila hiyo 3 kuna njia zaidi ya 100 ya kumtongoza mwanamke. Kuna wakati mapenzi huja yenyew pasipo kutongozana na mkajikuta wapenzi na mkawa mume na mke na watoto juu. Hakuna kitu huwa naogopa km unakutana na mwanamke siku ya kwanza na unaanza kumtongoza. Napenda tuzoeane kwanza, nikuone jinsi ulivyo, unavyoniheshimu na kujiheshimu. Nikiridhika ndiyo natongoza tofauti na hapo siwezi sbb naweza kujiletea matatizo na nikashindwa kuyatatua.
Espy huyu anataka mtoto siyo mme kwa akiolewa na ndoa inaisha baada ya kupata mtoto.Kwahiyo hakuna alomuomba Mungu hata mmoja!! Kweli marafiki zako kiboko.
Ngoja waoaji waje, huenda ukajipatia hitaji la moyo wako.
Espy huyu anataka mtoto siyo mme kwa hiyo akiolewa na ndoa inaisha baada ya kupata mtoto.Kwahiyo hakuna alomuomba Mungu hata mmoja!! Kweli marafiki zako kiboko.
Ngoja waoaji waje, huenda ukajipatia hitaji la moyo wako.
unapitwa hukuuu Stori: Jinsi ya Kumtongoza MwanamkeEspy huyu anataka mtoto siyo mme kwa akiolewa na ndoa inaisha baada ya kupata mtoto.
Wee money penny kama moyo wako unashuhudia kuwa hutatoka nje ya ndoa nipo tayari kukuoaWana kuja na wanavyopenda kulelewa MPE pole shosti wako
Mi mwenyewe nimefumania si kusimuliwa naweza kusimulia nayajua na maumivu.unapitwa hukuuu Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke
na hukuuu wenzio wanafumaniwaaa STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
nimeshaolewa mimi mke wa mtu mama wa watoto 3.. wa mwisho yupo chuo anasoma degree ya 1Wee money penny kama moyo wako unashuhudia kuwa hutatoka nje ya ndoa nipo tayari kukuoa
Mi mwenyewe nimefumania si kusimuliwa naweza kusimulia nayajua na maumivu.
Ndio ufanye mchkato unikutanishe nae tuokoe jahaz hilo...haya boss
haya
unapitwa hukuuu Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke
na hukuuu wenzio wanafumaniwaaa STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
dadako amekimbia dushe njoo muonee Ushauri: Aliomba MACHINE kwa Mungu, alipopewa akaikimbia...Ndio ufanye mchkato unikutanishe nae tuokoe jahaz hilo...
dadako amekimbia dushe njoo muonee Ushauri: Aliomba MACHINE kwa Mungu, alipopewa akaikimbia...Hahahaha eti ana pesa? Kama ngapi anazo? Vipi anaweza kuruka ukuta? Ndoa haiji hivi hivi sacrifice is needed