Hiyo ya 2 azidi kuwa na subira na pia azid kumuomba Mungu yote yanawezekana.
Ila hiyo 3 kuna njia zaidi ya 100 ya kumtongoza mwanamke. Kuna wakati mapenzi huja yenyew pasipo kutongozana na mkajikuta wapenzi na mkawa mume na mke na watoto juu. Hakuna kitu huwa naogopa km unakutana na mwanamke siku ya kwanza na unaanza kumtongoza. Napenda tuzoeane kwanza, nikuone jinsi ulivyo, unavyoniheshimu na kujiheshimu. Nikiridhika ndiyo natongoza tofauti na hapo siwezi sbb naweza kujiletea matatizo na nikashindwa kuyatatua.