Msaada: Anataka kuolewa na kupata watoto ila hana bwana

Msaada: Anataka kuolewa na kupata watoto ila hana bwana

Kuna watu watafeli huu mtihani..
Nakumbuka nikiwa f2 huko Tabora kuna mwl wangu wa civis alitoa test matata sana,yani maswali mepeeesi kweli kweli tena 5 question's only,but nakumbuka kwenye paper juu pale kwenye maelezo iliandikwa "Civis test,don't answer any question from this paper" alafu akatoa 5mins..aloh watu kuchungulia wakaona maswali mepeeeesi,wakainama kupiga,binafsi my dady alikua akinihusia kila siku,kwamba ukipewa mtiani wowote first of all soma maelezo ndio ufanye,so baada ya kuona maelezo hayo kwamba "don't answer any question" mwanaume nikaandika Tu jina na tar nikakusanya paper,kilichofuatia baada ya matokeo yani ilikua ni barrrrrra mazee,darasa zima kwenda kulima shamba la mtama la shule mchana wa jua kali.The same as here!!
 
Kuna watu watafeli huu mtihani..
Nakumbuka nikiwa f2 huko Tabora kuna mwl wangu wa civis alitoa test matata sana,yani maswali mepeeesi kweli kweli tena 5 question's only,but nakumbuka kwenye paper juu pale kwenye maelezo iliandikwa "Civis test,don't answer any question from this paper" alafu akatoa 5mins..aloh watu kuchungulia wakaona maswali mepeeeesi,wakainama kupiga,binafsi my dady alikua akinihusia kila siku,kwamba ukipewa mtiani wowote first of all soma maelezo ndio ufanye,so baada ya kuona maelezo hayo kwamba "don't answer any question" mwanaume nikaandika Tu jina na tar nikakusanya paper,kilichofuatia baada ya matokeo yani ilikua ni barrrrrra mazee,farasa zima kwenda kulima shamba la mtama la shule mchana wa jua kali.The same as here!!


Ahahahahahq we e unable akili wewe
Embu chukua soda kwa mangi hapo naja kukulipiaa

Ukimaliza uje hukuuu STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
 
Doh hii grisi safiii
Asante sana amenipigia anacheka anashukuru
Anasema anajichanganya sanaaa year sio mlokole lofaaa disko anaendaaa na ni mcheshi sanaaa hana maringooo

Asante sana rafikii Mungu Akubariki sana

Uje na hukuu STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
ahsante... huwa kila mtu ameumbiwa na fungu lake, pengine wakati wake haujafika, atampata wa saizi yake na wanaeendana... alafu mwambie kama anapushi kagari sio kila mda gari, sometimes aje kubanana huku public transport japo aghalabu, pia ibadani (church / msikitini) sio lazima aende na usafiri huku kote mda wa kwenda na kurudi anapata wasaa wa kubadilishana mawazo na watu tofauti tofauti. dress code pia ajiangalie sana, bongoland kwa wadada walioenda shule kidogo huwa ndio waongoza kwa kuvaa ovyo, vigauni vifupi vimeishia kwenye magoti au juu kama anakigari ukimuona amekaa mapaja yote yapo wazi, au ukimuona sehem kama kwenye sherehe utashangaa.. nani alituambia kuvaa ovyo ndio kuonekana msomi ? sijasema avae magunia no, ila kuna nguo zenye staha unaweza kuvaa na kuonekana cute tu, kuna minywele yenu mnavaaga sijui ndio weaving mara peruvian/brazilian hair, mnakua kama majini plus make up, mwanaume akikuangalia akikupimia anaona wewe wa gharama sana, pia anaona hapa amna wife material... vingine mwambie ajiongeze... happy new year
 
Hao jamaa wote walio toa namba zao
Namba uliokua unataka ya kuunda group la WhatsApp haija timia?
 
Huyo shogare na yy?? Yani alitaka apate PHD ili aheshimke aogopewe au? Haya sasa wanaume wanamuogopa nani wa kwenda kumuamshia dude? Kila mtu anaoba hafiti. Halafu usikute ana dharau basi ndo kwisha kabisa. Pole yake sana maana wanaume nao wabaguziij wanapenda vilivyokwisha pendwa angekua amefiwa na mumewe au kaachwa faster ungeshangaa ameshaolewa Money Penny
 
Huyo shogare na yy?? Yani alitaka apate PHD ili aheshimke aogopewe au? Haya sasa wanaume wanamuogopa nani wa kwenda kumuamshia dude? Kila mtu anaoba hafiti. Halafu usikute ana dharau basi ndo kwisha kabisa. Pole yake sana maana wanaume nao wabaguziij wanapenda vilivyokwisha pendwa angekua amefiwa na mumewe au kaachwa faster ungeshangaa ameshaolewa Money Penny
Anakusoma hivyo mwanamke mwenzio unavyo mnanga.
 
Mimi ni kijana wa miaka 25
Ni mfanyabiashara na pia nimeajiriwa. Kiuchumi nipo vizuri, pesa ya kubadilisha mboga hainisumbui kabisa. Plan yangu mwakani ni kuoa japo sina bado ambae naweza sema ndo atakuwa my wife and babies' mama. Umri kwangu sijali sana. Kama atakuwa tayari aniPM tujuane tuanzisha mahusiano.
 
Back
Top Bottom