Msaada: Anateswa na jini mahaba, kajaribu kila kitu kimeshindikana

Ni binti wa Kiislam siyo, ni FauziaFoxy au gaidi lingine?
 
Kunywa mafuta na kupiga makelele bila imani hakutamponya.

Anatakiwa amwamini Yesu kuwa ni mfalme mwenye nguvu, ni Mungu anaeponya. Hiyo ndio Imani. Aondoe picha ya jini katika fikra zake na aweke picha ya ushindi akijua tayari Yesu amelipa na kumponya tayari. Shida yake analipa nguvu jini (shetani) litawale akili yake kwamba lina nguvu. Hiyo ndiyo imani yake. Hata akinywa dram 10 za mafuta hatatoka. Hana imani.

Nini afanye?
Jumapili awahi Kawe kwa mwamposa. Aende kwenye hema la wagonjwa akaonane na wahudumu watampa maelekezo nini cha kufanya na utaratibu wa kuomba kuondoa mapicha ya mahaba na kuweka picha ya Yesu aliye hai.

Angalizo.
Mimi ni mkristo, simpigii chapuo Mwamposa, bali napenda kufuatilia huduma yake inabariki watu wengi. Nakuombea upone mara ufikapo mahali hapo
 
Hirizi hii hapa, unakula hata kwa wiki mara Moja kisha shushia na safari baridi Moja tu. Jini lazima akimbie spidi ya ngiri

 
watu wasiomcha Mungu wenye majina yanayoanza na bnz, fr, jv wanasumbuliwa sana na majini.
 


HAKIKA ni swala la kufanyika kiumbe kipya tu na huo uchafu Wote utakimbia na kwenda kutafuta Makazi mengine



Kwamwe Nuru na giza haviwezi kuchangamana, mahali penye Nuru uwezi kukuta giza, Kwaiyo akiipokea Nuru ya ulimwengu ambaye ni YESU KRISTO hayo yote hatoyaona Tena
 
anitafute kwa maombezi Baba messiah atamponya
 
Sio kweli...!
Wengi mnaandika tu Kwa story za kuskia.....!
Wewe ni kati ya wale vijana wajinga kabisa.

Unapoona 'uongo' wewe njoo na true evidence ili upingane na fake article and replies.

Vinginevyo wewe ni jini au utakuwa umetumwa nalo lenyewe!.
 
Wewe ni kati ya wale vijana wajinga kabisa.

Unapoona 'uongo' wewe njoo na true evidence ili upingane na fake article and replies.

Vinginevyo wewe ni jini au utakuwa umetumwa nalo lenyewe!.
Wewe unayeongea Vitu kama unavijua wakati huvijui
Wewe ni kati ya wale vijana wajinga kabisa.

Unapoona 'uongo' wewe njoo na true evidence ili upingane na fake article and replies.

Vinginevyo wewe ni jini au utakuwa umetumwa nalo lenyewe!.
Wewe unaongea Vitu vya kusikia ukifanya kama unavijua Sana...!

Mimi nimekwambia uichoongea ni Uongo, nilidhani labda ungeniambia Niku prove wrong Kwa kueleza Ukweli, matokeo yake umekuja na maneno Makali yasio na Staha, as if nilikutusi ama nilimwambia Lugha yoyote Mbaya...!

Narudia Tena ulichoandika ni Uongo, na kama hujui Jambo Kukaa kimya ni busara...!

Binafsi niliteswa na hizo Demons for more than 15 years, na sasa nipo huru, ni jukumu langu kumsaidia yoyote anayepitia changamoto hizo, coz najua zinavyotesa, na niliona Uongo, siwezi kuungalia coz uongo umefanya matatizo Kwa wengine yaendee...!

Msaada wangu nitautoa straight Kwa mlengwa.
 
Ni sahihi Mkuu, mwanzo nilipoteza muda Sana Kwa story za kusikia, mara ukilala na mfupa wa kitimoto, sijui yataondoka, mara ukivuta Bange sijui yataondoka, nikifanya yote na mengine mengi ilikua kazi Bure.

Siku niliamua kutoka Moyoni kwamba Sasa ndo mwisho, Kwa uwezo wa Mungu nikawa huru.
 
Ana geuka anatoa macho nakuhangaika hangaika kama nyoka anatishaga sana na anaoza kifua ni na shingoni na anakuwa anahasira hapo ndio anaachikaga na watu wake
Mbona Mm navyojua kwa mwanamke ukiwa na jiji mahaba muda wote unakuwa unataka kusokomezewa mashine na pia kuamka asubuhi na kukuta umeshalimwaga, ww h yako n jini mahaba gn huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…