Hakuokoka, Mimi nilishakua Muhanga miaka 15 na siku niliyoamua kuachana na Matamanio ya Dunia hii, hayo Madude yalitafuta pa kwenda, na Wala sikuhangaika kuyaombea ama kuyakemea, Wala sikwenda kuombewa ilikua Mimi tu na Moyo...! Japo mwanzo nimezunguka Sana Kwa Waganga wengi mpaka nje ya Nchi, nimeombewa Sana mpaka Kwa Mwamposa ila haikusaidia...! Ilibidi Mimi mwenyewe niamue.
Watu wengi hapa hawana uzoefu na Hayo Madude zaidi ya kusikia story tu.
Kama kweli Ndugu yako ana changamoto, njoo in box tubadirishane namba, ntamsaidia tu Kwa kumpa Mwongozo na Yesu atamweka huru..!
Ipo sababu ya Kwa Nini ameshambuliwa na Mimi ntamfanya ajitambue Kiroho na itamsaidia kwenye safari yake...!
"Mti wenye Matunda ndo unaopigwa Mawe.