Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
Ni sahihi Mkuu, mwanzo nilipoteza muda Sana Kwa story za kusikia, mara ukilala na mfupa wa kitimoto, sijui yataondoka, mara ukivuta Bange sijui yataondoka, nikifanya yote na mengine mengi ilikua kazi Bure.
Siku niliamua kutoka Moyoni kwamba Sasa ndo mwisho, Kwa uwezo wa Mungu nikawa huru.
We kenge kweli naanzaje kumuamini binadamu mwenzangu au kwakua mzungu ndio nimshobokee? Kweli aliewaita kondoo hakukoseaWewe Tumbili wa mjini unadhani kumdislike Yesu kunamwongezea au kumpunguzia chochote? Alikuwepo na ataendelea kuwepo daima na nguvu ile ile. Hahitaji chochote kwa mwanadamu zaidi ya imani yako. Amini umpokee Yesu uepuke majini
Wewe Tumbili wa mjini unadhani kumdislike Yesu kunamwongezea au kumpunguzia chochote? Alikuwepo na ataendelea kuwepo daima na nguvu ile ile. Hahitaji chochote kwa mwanadamu zaidi ya imani yako. Amini umpokee Yesu uepuke majini