Msaada: Anateswa na jini mahaba, kajaribu kila kitu kimeshindikana

Msaada: Anateswa na jini mahaba, kajaribu kila kitu kimeshindikana

Watu hawana elim za kiroho hawaelew haya mambo.... Waganga wenyew 90% wanasumbuliwa na huyu mdudu
Jinn mahabba ananguvu Sana kuliko watu wanavyodhan pia anaelim kubwa ya uaribifu!!

Mm pia alinisumbua miaka mingi sana.... Nimefanya spiritual Awakening, nikafanya taratibu za kukua kiroho mwisho nimemuweza na nimefanikiwa kumtoa mwezi uloisha hapo....... Baada ya kukaa ndani nimefunga mwezi mzima bila kula vyakula vyenye roho nikifanya ibada🤝
Kuna daraj ukifika ndo unapata power na uuwezo wa kumcommand atoke...... Huyu jinn mpk mwalim wangu mwenyew kashindwa kumtoa

Yani kiuharisia kwenye watu 100 mmoja tu ndo hupona
 
Ni sahihi Mkuu, mwanzo nilipoteza muda Sana Kwa story za kusikia, mara ukilala na mfupa wa kitimoto, sijui yataondoka, mara ukivuta Bange sijui yataondoka, nikifanya yote na mengine mengi ilikua kazi Bure.

Siku niliamua kutoka Moyoni kwamba Sasa ndo mwisho, Kwa uwezo wa Mungu nikawa huru.

Hakika Mkuu Bila neema ya MUNGU Huwezi kuwazuia hawa wadudu lazima watakuja tu na kutimiza matakwa yao, hata Mimi kabda sijapata na kuipokea Neema ya MUNGU nilikuwa natokewa na hali ya hawa wadudu na kiamka najikuta nimejichafua ila baada ya kupata NEEMA yake mwenyezi MUNGU kiukweli hiyo hali imepotea kabisa

Neema ya MUNGU inatusaidia kuludisha utukufu wake MUNGU Baba yetu NDANI YETU i.e uwepo wake NDANI YETU na kutuwezesha KUISHI MAISHA ambayo MUNGU alikusudia tuje Tuishi katika hu ulimwengu tangu zamani i.e MAISHA ya utakatifu yasiyokuwa na hatia mbele zake na mtu anapopewa hu uweza wa KUISHI MAISHA ya utakatifu (MAISHA ya Nuru) Kamwe giza na Mambo yake yote haliwezi kumsogelea hata kidogo
 
Wewe Tumbili wa mjini unadhani kumdislike Yesu kunamwongezea au kumpunguzia chochote? Alikuwepo na ataendelea kuwepo daima na nguvu ile ile. Hahitaji chochote kwa mwanadamu zaidi ya imani yako. Amini umpokee Yesu uepuke majini
 
We kenge kweli naanzaje kumuamini binadamu mwenzangu au kwakua mzungu ndio nimshobokee? Kweli aliewaita kondoo hakukosea
 
Wewe Tumbili wa mjini unadhani kumdislike Yesu kunamwongezea au kumpunguzia chochote? Alikuwepo na ataendelea kuwepo daima na nguvu ile ile. Hahitaji chochote kwa mwanadamu zaidi ya imani yako. Amini umpokee Yesu uepuke majini
FB_IMG_1730471687954.jpg

KAFIRI mwenzako ameongea hayo maneno
 
Back
Top Bottom