Msaada: Anaweza akapata nafasi ya shule za vipaji maalumu?

Msaada: Anaweza akapata nafasi ya shule za vipaji maalumu?

Hongera kwa kupata average ya A.

Lakini kumbuka kuwa waliopata average ya A ni wengi saana. Na nafasi ya shule maalum ' vipaji' ni chache saaana.

Hivyo inategemea katika wilaya yao waliopata hizo alama ni wangapi maana nafasi za vipaji zinagawana kiwilaya.

Kama labda wilaya au halmashauri imepewa nafasi 10. Na amekuwa among 10 best atachaguliwa....

I hope umenielewa
Yap
 
Tech Schools, na zile zinazoitwa za vipaji maalumu, zote kwa ujumla ni Special Schools!
Mi nimeuliza kama Tanga Tech ni vipaji maalumu we tena unaleta special school,anyaway kila la heri!
 
Back
Top Bottom