Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YapHongera kwa kupata average ya A.
Lakini kumbuka kuwa waliopata average ya A ni wengi saana. Na nafasi ya shule maalum ' vipaji' ni chache saaana.
Hivyo inategemea katika wilaya yao waliopata hizo alama ni wangapi maana nafasi za vipaji zinagawana kiwilaya.
Kama labda wilaya au halmashauri imepewa nafasi 10. Na amekuwa among 10 best atachaguliwa....
I hope umenielewa
Mi nimeuliza kama Tanga Tech ni vipaji maalumu we tena unaleta special school,anyaway kila la heri!Tech Schools, na zile zinazoitwa za vipaji maalumu, zote kwa ujumla ni Special Schools!
Hapo safi alikuwa anajitahidi ila kwa ufaulu wake atapelekwa tu hizi boarding school ila sio vipaji wala Technical schoolTokea kaanza darasa la kwanza ni mtu wa 1 au 2.