Msaada: Anaweza akapata nafasi ya shule za vipaji maalumu?

Yap
 
Tech Schools, na zile zinazoitwa za vipaji maalumu, zote kwa ujumla ni Special Schools!
Mi nimeuliza kama Tanga Tech ni vipaji maalumu we tena unaleta special school,anyaway kila la heri!
 
Tokea kaanza darasa la kwanza ni mtu wa 1 au 2.
Hapo safi alikuwa anajitahidi ila kwa ufaulu wake atapelekwa tu hizi boarding school ila sio vipaji wala Technical school
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…