Wakuu naomba kuuliza anaefahamu fika hili shirika/taasisi ya British contact limited lipo sinza. Je, linajihusisha na nini haswa? Na je mishahara kwao ni uhakika?
Kutembeza sabuni,vyombo,dawa za miswaki,Utaambiwa ukifikia level flani utakuwa meneja.Utajaa mazima na utakuta watu kibao wana miaka zaidi yako hata aliyekuwa meneja hola.Nimewahi fanya pale