Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana mkuuTafuta dawa ya fungus boss Kama vipo hapo tu tumia ya cream yenye mchangayiko wa anti fungal, anti allergy na anti bacteria ei, sonaderm epiderm ama skiderm.
Kama ni mwili mzima tafuta
Griseofulvin fluconazole au terbinafine. Nimepanga kulingana ma hela yako Ila zote ni dawa nzuri.
Ugua pole
Zinafaa kwa watotoTafuta dawa ya fungus boss Kama vipo hapo tu tumia ya cream yenye mchangayiko wa anti fungal, anti allergy na anti bacteria ei, sonaderm epiderm ama skiderm.
Kama ni mwili mzima tafuta
Griseofulvin fluconazole au terbinafine. Nimepanga kulingana ma hela yako Ila zote ni dawa nzuri.
Ugua pole
Nataguta mafuta ya fimbo ya musa 0614832734Kuna hii hali ya vidoa vilivyopauka kutokea kwenye ngozi ya mtoto. Naomba mwenye ufahamu wa tiba yake ya asili au ya hospitalini maana tuneshatumia dawa unaenda na kurudi.
View attachment 2928025