Msaada anayeifahamu Indeed

Msaada anayeifahamu Indeed

KatetiMQ

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2022
Posts
249
Reaction score
506
Habari zenu ndugu zangu Mimi ni kijana wa miaka 23 na nimekua na matamanio ya kufika ng'ambo (ughaibuni) kwa muda mrefu Sana kwa sababu ya kupambana na hali ya kiuchumi (umasikini) Sasa katika pita pita zangu online nikakutana na jamaa mmoja anazungumzia website moja inaitwa Indeed na hii websites ni mtandao wa nje ambao watu huutumia kutafuta kazi kwa sababu Kuna kazi nyingi huwa zinapostiwa

Na zingine anasema zina visa sponsorship kwa wale wanaotokea nji za mbali na kazi husika ilipo naombeni msaada kwa anayeifahamu hii Indeed vizuri Kama ana kitu chochote anachokifahamu ili tuwe makini wakati tunajiingiza humo maana elimu ni bahari naomba kuwasilisha

Picsart_24-03-26_14-50-09-478.jpg
 
View attachment 2945160
Baadae watataka wewe ndo uwape hela kwanzà, kama wewe unataka kuwa boss wao wape hela.
 
Indeed,nimtandao wa wanigeria na zaidi ya 70% wamejaa matapeli...
Nimeshahangaika nao huo mtandao mno
 
Umenena vizuri lakn vijana changamoto nyingi kuliko unavyodhani
• Asilimia 90% wazamiaji wameishia
1- kupigwa Bastora za kichwa.
2- kuwa machokara, kulala kwenye majalala.
3. Usitegemee ukienda huko, kuna mtu atakupa support.(utakumbuka hata viporo vya ugali huku Tz.

Alafu kingine...
. Nikiangalia nauli ya kwenda huko si chini ya 350,000/-
. 350,000/- ni mtaji mkubwa sana, ukiweka ubaro-baro Pembeni..
 
Nimekuelewa kaka
 
Hii 90% unayoizungumzia ni kwa chanzo gani, utafiti gani na wa lini?
2-Nchi gani huko Ughaibuni kuna Machokoraa Watanzania?
3-Hapa ni kweli, kujipanga lazima.
Kuhusu Nauli ya Tshs. 350,000. Hii ni kwenda wapi?
 
Siifaham vizuri Indeed lakini comments za watu hapa wapo so negative, dogo we eñdelea kupambana usepe zako ukaishi maisha ya ndoto yako.
Cheza DV lottery mwakani Mungu akipenda, pia kwa umri wako sijaelewa level yako ya elimu lakini kama una una bachelor Fanya application ya scholarships kwa ajili ya master degree, hiyo nayo ni Njia nzuri ya kuchomoka hapa Tz..
Kama umefaulu vizuri masomo ya science kwa o level,Fanya diploma ya Nursing,ukimaliza utakuwa na uwezo wa kuomba Kazi US,UK,Canada, Australia n.k.
Mimi sijanywa maji ya bendera,ni muumuni wa kupambana hata nje ya mipaka ya bara letu la Afrika...
 
Back
Top Bottom