Mjomba Berkshire ni Reading karibu na London. Huyo jamaa lazima akupige ili apate faida. Mimi nitatoa huduma anayotaka toa bila kuweka cha juu. Nitaku-link na supplier ili uhakikishe bei ya product, alafu nitaku link na shipment company ili ujue kiasi gani unalipa kwa shipment.