Msaada anayejua namna ya kudhibiti wizi wa mifugo shambani

Msaada anayejua namna ya kudhibiti wizi wa mifugo shambani

Ukipata hela tafuta kitu unaitwa stun gun mlinzi akae nacho. Mwizi hata awe baunsa atakua neutralized. Hii kitu inapiga short ya umeme kwa mlengwa mpaka anajikojolea. Benson Arusha walikua Nazi lakin nasikia container ilippkuja ya pili ikazuwiliwa bandarini. Lakin unaweza kuagiza mwenyewe
Kiongozi bei zake zipoje
 
Nikiwa Ndani ya naweza itumia kupitia Dirishani?
Mwizi anapokuja anakua amejiridhisha kuwa umelala, humuoni sasa wewe utakaa na kimaahine chako ukisubiri umgusishe apigwe short huyo mwizi wa mabox.
Ingia gharama, nunua mbwa mwenye mafunzo japo ili awe na maana lazima uwe na fence
 
Back
Top Bottom