MSAADA: Anayemfahamu Bibi Mkunga/Msabato Iringa

MSAADA: Anayemfahamu Bibi Mkunga/Msabato Iringa

DaSiliVa

Member
Joined
Nov 3, 2022
Posts
67
Reaction score
36
Salaam za muda huu wana JF wenzangu,

Please, kwa wale wakazi wa Iringa wakina Kamwene napenda kuomba msaada wa mawasiliano ya Bibi Mkunga maarufu kama Bibi Msabato.

Anayefahamu anapatikana maeneo gani Iringa naomba msaada, hata nikipata contact zake ntashukuru.Pia unaweza ukaja kuni PM kama utaona cyo sahihi kuonekana kwa peji hii kwa faida yake,yangu na yako pia.Good day:Hadi sasa sijafanikiwa kupata contact za bibi
 
Lengo la kumtafuta Bibi nikwamba nahitaji huduma yake hasa upande wa mifupa nipo na Mzee amepata tatizo
 
Amesaidia watu wengi wenyeshida Kama hii ya kuvunjika mfupa wa paja, lengo nikuniona ili anisaidie
 
Lengo langu niongee nae nimweleze Jambo hili
 

Attachments

  • Screenshot_20230101-192825.png
    Screenshot_20230101-192825.png
    162 KB · Views: 8
Back
Top Bottom