DaSiliVa
Member
- Nov 3, 2022
- 67
- 36
Salaam za muda huu wana JF wenzangu,
Please, kwa wale wakazi wa Iringa wakina Kamwene napenda kuomba msaada wa mawasiliano ya Bibi Mkunga maarufu kama Bibi Msabato.
Anayefahamu anapatikana maeneo gani Iringa naomba msaada, hata nikipata contact zake ntashukuru.Pia unaweza ukaja kuni PM kama utaona cyo sahihi kuonekana kwa peji hii kwa faida yake,yangu na yako pia.Good day:Hadi sasa sijafanikiwa kupata contact za bibi