Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 993
Habari wana jf
Nina ndugu yangu ana miaka 41 mwanaume, kwa bahati mbaya FIGO zake zote zimefeli. Tunaomba kwa anayeweza kumsaidia figo 1 afanye hivyo nasi tutamzawadia mtu huyo milioni 40.
Aliyetayari awasiliane nami kwa namba 0769142586 sasa.
Nipo dar es salaam, popote ulipo tutakutumia usafiri.
Haya jamani nisaidieni sasa.
mkuu Bujibuji Utamuuwa Mtu kwa kumchomowa Figo je Kama Anao Ugonjwa AIDS Ukimwi Figo hilo litaweza kufanya kazi? lazima kwanza huyu mwenye Figo kabla ya kutolewa Figo lake apimwe na Daktari ili ajulikane Afya yake je hana maradhi? Kama anayo Maradhi figo lake pia halifai kutolewa Mkuu nawasilisha hivyo.Fadhili Paulo, nyie hamna upendo hata kidogo kwa ndugu yenu.
Hivi mnaona huto tu milioni arobaini ni twa maana sana kuliko uhai wa ndugu yenu?
Au unataka kuniambia kuwa kwenye ukoo wenu mliumbwa na figo mojamoja tu?
Hebu msaidieni mwenzenu figo, acheni kuwalaghai watu kwa harufu ya pesa.
Na tukisikia mtu kauawa na kuchomolewa figo tutakuangalia kwa jicho la ki freemaso
n