Msaada: Anko wangu amechanganyikiwa

Hio ni nchi ya kusadikika. Watu kwa kujikweza eti unalalamika juu ya tumizi la laki 1 per day are you serious? Mwanzo wa mada nilijua umekosea kutype kumbe duh. Japo maisha hatufanani ila sidhan kama hapo kuna uhalisia
 
Mtafutie Mama ake mdogo na Linda Kila kitu kitakuwa sawa..
 
Ungeongea na aunt, zile hela za mboga alirudisha angempa Tu Kaka yake. Manake mzee ruge kamaua kustarehe tu keki.

Pole sana.tutakukumbuka kwenye maombi
 
Nilivyofika kwenye laki 1 nikarudi kusoma jina juu...
Kumbe ni yuleyule Jr...

#Hongera
#YNWA
 
Jiangalie kwenye kioo vizuri,

Una uhakika kwamba nywele zako hujanyoa kiduku mtoa mada.
 
Kuwaelewa Hawa mpaka aje Kaka yao Kiduku Lilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…