Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Cc Kiduku Lilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmeishia hapo uliposema matumizi ya laki1 kwa siku ni madogo kwa watu wanne siendelei kusoma huu ujinga maana kuna watu wanabajeti ya 2000 kwa siku na maisha yanaenda
Nilivyofika kwenye laki 1 nikarudi kusoma jina juu...Ni mjomba wangu wa nne yaani baada ya mama anafuata anko Gervas Tibaijuka then anakuja yeye.
Tangu afukuzwe kazi mjomba wangu amekuwa ni mtu wa kunywa pombe na kula wanawake tu. Imefikia hatua hadi anashindwa hata kulala kwake.
Nyumbani kwake anaacha tumizi la Tsh. 100,000 tu kwa siku. Just imagine familia ya watu wanne unaachaje tumizi la laki moja tu? Unataka familia ife njaa?
Mbaya zaidi mtoto wake wa kwanza (Grace) amemrudisha kutoka Massachusetts, Marekani eti amekosa ada. Na wakati anaonga mahawala zake hadi Kluger!
Juzi ndio ametuacha hoi wana ukoo eti ameamua kumpeleka Steven, mtoto wake wa pili na wa mwisho shule. Tukamuuliza utampeleka wapi? Eti akasema DIA! ile shule ya Dar Es salaam International Academy.
Masikini mjomba! Kweli maisha ni kupanda na kushuka. Amefikia hatua ya kumpeleka mtoto shule ya elimu bure kiasi hicho! Eti mtoto Kindergarten nyie mnaita chekechea wanalipa Tsh. Milioni 27 tu kwa mwaka. This is nervous jamani.
Anakoelekea anaenda kudhalilisha ukoo wetu. Sitakubali cousin wangu asome shule za ajabu kama hizo. Japokuwa sina ajira kwa sasa. Nitajitahidi mwakani nimlipie ada asomee kama sio US basi UK.
Mnapokuwa kwenye sala naomba mumkumbuke mjomba wangu ili aache starehe na kutelekeza familia yake kiasi hiki.
Jambo Tanzania.
Tukana tu maana ndicho ulichorithi.
Kiduku Lilo
Kuwaelewa Hawa mpaka aje Kaka yao Kiduku LiloNi mjomba wangu wa nne yaani baada ya mama anafuata anko Gervas Tibaijuka then anakuja yeye.