ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka huu mzigo nimeuelewa nielekeze je naweza kuutupia kwenye mi box niweze kuangalia kwenye screen moja Kwa moja?Baada ya hapa ni wewe na bundle lako...
Kaka hui mzigo nimeuelewa nielekeze je naweza kuutupia kwenye mi box niweze kuangalia kwenye screen moja Kwa moja?
Nimefanikiwa bwana!Mkuu kwangu ipo kwenye simu, niliwahi jaribu weka kwenye TV (ina android) ukaingia fresh lakini nikawa nashindwa kunavigate (scroll juu na chini)...
Kwenye Mi Box nadhani uki install utaweza kunavigate kwa sababu remote yake imetengenezwa kunavigate vitu tofauti tofauti, jaribu kuinstall
Nimefanikiwa bwana!
Ila navigation natumia mouse ntakupigia picha uone!
Mungu akuzidishie maarifa mwamba!
Mkuu weka picha tuone basiNimefanikiwa bwana!
Ila navigation natumia mouse ntakupigia picha uone!
Mungu akuzidishie maarifa mwamba!
Poa Leo ntawekaMkuu weka picha tuone basi
Duuh weeeeAsante mkuu, naomba ambayo Ni nafuu kidogo Kwa usalama Wa bando
Msaada wa azam Max cracked mkuu kama unayo. Kuhusu mechi za CCL zinaonekana Dstv na startimes. Mimi nina app ya startimes huwa naangalia hizi mechi.Asante mkuu ngoja nifuate muongozo wako
Mimi huwa natumia Kora live hii Ina game nyingi za ulaya na Africamtandao wa kucheki mpira (EPL ,CAF ,etc) kwenye internet kupitia laptop wakuu ....?
Umenisaidia sana mkuu, now naenjoy na koora.Mimi huwa natumia Kora live hii Ina game nyingi za ulaya na Africa
Pamoja sana kiongoziUmenisaidia sana mkuu, now naenjoy na koora.
Pamoja sana kiongoziUmenisaidia sana mkuu, now naenjoy na koora.