Msaada App ya Ku stream live football games kwenye simu

Msaada App ya Ku stream live football games kwenye simu

Sorry mkuu hii ni kwenye simu ama laptop?
Kote kote mkuu

Screenshot (19).png
 
Kaka hui mzigo nimeuelewa nielekeze je naweza kuutupia kwenye mi box niweze kuangalia kwenye screen moja Kwa moja?

Mkuu kwangu ipo kwenye simu, niliwahi jaribu weka kwenye TV (ina android) ukaingia fresh lakini nikawa nashindwa kunavigate (scroll juu na chini)...

Kwenye Mi Box nadhani uki install utaweza kunavigate kwa sababu remote yake imetengenezwa kunavigate vitu tofauti tofauti, jaribu kuinstall
 
Nimefanikiwa bwana!
Ila navigation natumia mouse ntakupigia picha uone!
Mungu akuzidishie maarifa mwamba!
 
Asante mkuu ngoja nifuate muongozo wako
Msaada wa azam Max cracked mkuu kama unayo. Kuhusu mechi za CCL zinaonekana Dstv na startimes. Mimi nina app ya startimes huwa naangalia hizi mechi.
 
Back
Top Bottom