Msaada au ushauri wa haraka kwa mtoto wa miaka 8 unaitajika kwa haraka

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,615
Reaction score
1,805
Naenda moja kwa moja ktk hili jambo kuna mtoto wajirani yangu huyu mtoto ana miaka 8 sasa nahisi ana tatizo la kiafya au kimaumbile .

Kuna matukio anayoyafanya hata wazazi wake wanashindwa kuelewa kadharika kwa majirani .

1 dogo ana tuhuma za kusimamisha uume pale anapoona hata paja la mwanamke aliyemzidi umri. Kuna mama mmoja mwenye watoto watatu anasema kuna siku alikuwa amekaa vibaya yule dogo akaanza kujiminyaminya akamkalipia ainuke ahamadi dogo mbele kumetuna akamkanya

Yapo mengi tufupishe sasa nyie wataalamu huyu dogo atakuwa anaumwa au ameanza kubalehe?

Msaada wenu unahitajika
 
Hewaaa, si ndo hivyo mwanaume wa shoka kaongezeka😛
 
Vip akiwaona watoto wenzie hasimamishi? Yan anasimamisha anapowaona watu wazima tu?

Sizan kama kuna tatizo kusimamisha, hapo inatakiwa wazazi/walezi wake wakae nae chini wamfundishe:
👉 kujikubari na kujiamini :mjenge hajione kuwa hio ni hali ya kawaida huo ndio uanaume. Maana mkimzonga zonga atajichukia mwisho wa siku ataangukia mikononi mwa watu wabaya wamuondolee huo uanaume wake. Dunia ya sasa sio nzuri
👉Mfundishe kudhibiti hisia zake anapo kuwa mbele za watu: Mfundishe mbinu na faida za kufanya hvyo na madhara ya kutokufa hvyo. Mwambie ukweli kipi anatakiwa kufanya na kipi hatakiwi kufanya.
👉 Usimuache ukasema ni mtoto haelewi lolote.

Ngoja niishie hapo
 
Me nikajua ana dalili za upinde. Kama ni hivyo basi uhakika
Mkuu kweli uhakika ila dogo ana majanga kuna mama mmoja alikua mjazito si unajuabaadhi wakiwa karibu kujifungua..yule mama akajiachia mapaja nje dogo mzigo ukatuna basi kesi ikapelekea achezee fimbo kwa utovu wa nizamu
 
Mkuu nimepokea ushauri wako nitakaa na wazazi wake tuongee nae maana naisi dogo anajiona katengwa maana wazazi wengi awmuamini kua karibu na rika lake
 
Hapo mlifanya usahihi kumuadhibu. Balehe siku hizi wanawahi sana.
 
Mkuu kweli uhakika ila dogo ana majanga kuna mama mmoja alikua mjazito si unajuabaadhi wakiwa karibu kujifungua..yule mama akajiachia mapaja nje dogo mzigo ukatuna basi kesi ikapelekea achezee fimbo kwa utovu wa nizamu
huyo dingi anachokitafta atakipa maana atafanya mtoto achukie uanaume wake
 
Mkuu nimepokea ushauri wako nitakaa na wazazi wake tuongee nae maana naisi dogo anajiona katengwa maana wazazi wengi awmuamini kua karibu na rika lake
huko kumtenga ndiko kubaya sasa. Sahv aliitaji uwangalizi wa Karibu zaidi na kampani yakutosha
 
Nadhan hapo ni kumkalisha dogo Chini na kumueleza mabadiliko ya maumbile yake,kumueleza kuwa si ugonjwa Bali mabadiliko ya ukuaji,pili mkishamfahamisha kuhusu Hilo,mumfahamishe ajiweke mbali na kuangalia angalia wanawake,yeye bado ni mdogo hatakiwi na haipendezi Kwa umri wake kujihusisha na kuwatamani wasichana,mwambieni umri ukifikra kutakuwa hakuna tatizo.

Nadhani mtajenga mazungumzo yenu katika mazingira hayo,na msiwe wakali katika mazungumzo yenu,Bali muwe rafiki kwake,Kwa kufanya hivyo atakuwa na Amani na atajenga kujiamini zaidi
 
kagombe dah ndugu , biologically dogo hana shida ila sasa kosa lipo kwa hao wanaojitekenya mbele yake , sasa nini kifanyike...

Baba mtu akae na jembe lake alieleze uhalisia na kuwa si sawa kwa huo umri kutamani mambo hayo ila amueleze ni hali ya kawaida ndivyo inavyotakiwa ili dogo asijekujikuta sio ridhiki badae .

Ushauri [emoji120][emoji120]
TEKERI
 
Kuna kila dalili dogo alipewa papuchi na mwanamke mtu mzima, ndiyo maana akiona paja za wanawake anakumbuka.

Inaonesha kuna mwanamke mtu mzima mtu wa karibu kabisa na familia ya dogo alishawahi kumuelekeza kwa vitendo, matumizi ya hiyo kitu.

Na experience hiyo haiwezi kumtoka ktk kumbukumbu mtoto huyo, bali apewe ushauri nasaha kuwa siyo mbaya bali asubiri akipata mke.
 
Nadhan hapo ni kumkalisha dogo Chini na kumueleza mabadiliko ya maumbile yake,kumueleza kuwa si ugonjwa Bali mabadiliko ya ukuaji,pili mkishamfahamisha kuhusu Hilo,mumfahamishe ajiweke mbali na kuangalia angalia wanawake,yeye bado ni mdogo hatakiwi na haipendezi Kwa umri wake kujihusisha na kuwatamani wasichana,mwambieni umri ukifikra kutakuwa hakuna tatizo.

Nadhani mtajenga mazungumzo yenu katika mazingira hayo,na msiwe wakali katika mazungumzo yenu,Bali muwe rafiki kwake,Kwa kufanya hivyo atakuwa na Amani na atajenga kujiamini zaidi
Tunashukuru kwa ushauri mkuu ila kulea nayo shughuri pevu
 
Back
Top Bottom