Msaada au ushauri wa haraka kwa mtoto wa miaka 8 unaitajika kwa haraka

Msaada au ushauri wa haraka kwa mtoto wa miaka 8 unaitajika kwa haraka

Tunashukuru kwa ushauri mkuu ila kulea nayo shughuri pevu
Kweli kabisa kulea ni shughuli,Nina kijana wangu WA miaka nane kama huyo,ila kijana wangu daah shida yake maswali bwana,ni mdadisi Sana,yaani ukiwa huna uvumilivu waeza kumpiga mkwara,lkn bahati nzuri nimejifunza kumvumilia kwakuwa najua nikionyesha kukerwa na maswali yake,itamuondolea kujiamini na atashindwa kujiamini zaidi na atakosa maarifa pia, na Mimi kama Baba yake inabidi nimsikilize zaidi na kuwa mfano Bora kwake
 
Back
Top Bottom