Ww unawaza nn tupe mawazo yako.!Kimaadiri sizani kama itakua sawa kwa umri huu
Mkuu kweli uhakika ila dogo ana majanga kuna mama mmoja alikua mjazito si unajuabaadhi wakiwa karibu kujifungua..yule mama akajiachia mapaja nje dogo mzigo ukatuna basi kesi ikapelekea achezee fimbo kwa utovu wa nizamuMe nikajua ana dalili za upinde. Kama ni hivyo basi uhakika
Mkuu nimepokea ushauri wako nitakaa na wazazi wake tuongee nae maana naisi dogo anajiona katengwa maana wazazi wengi awmuamini kua karibu na rika lakeVip akiwaona watoto wenzie hasimamishi? Yan anasimamisha anapowaona watu wazima tu?
Sizan kama kuna tatizo kusimamisha, hapo inatakiwa wazazi/walezi wake wakae nae chini wamfundishe:
👉 kujikubari na kujiamini :mjenge hajione kuwa hio ni hali ya kawaida huo ndio uanaume. Maana mkimzonga zonga atajichukia mwisho wa siku ataangukia mikononi mwa watu wabaya wamuondolee huo uanaume wake. Dunia ya sasa sio nzuri
👉Mfundishe kudhibiti hisia zake anapo kuwa mbele za watu: Mfundishe mbinu na faida za kufanya hvyo na madhara ya kutokufa hvyo. Mwambie ukweli kipi anatakiwa kufanya na kipi hatakiwi kufanya.
👉 Usimuache ukasema ni mtoto haelewi lolote.
Ngoja niishie hapo
Hapo mlifanya usahihi kumuadhibu. Balehe siku hizi wanawahi sana.Mkuu kweli uhakika ila dogo ana majanga kuna mama mmoja alikua mjazito si unajuabaadhi wakiwa karibu kujifungua..yule mama akajiachia mapaja nje dogo mzigo ukatuna basi kesi ikapelekea achezee fimbo kwa utovu wa nizamu
huyo dingi anachokitafta atakipa maana atafanya mtoto achukie uanaume wakeMkuu kweli uhakika ila dogo ana majanga kuna mama mmoja alikua mjazito si unajuabaadhi wakiwa karibu kujifungua..yule mama akajiachia mapaja nje dogo mzigo ukatuna basi kesi ikapelekea achezee fimbo kwa utovu wa nizamu
huko kumtenga ndiko kubaya sasa. Sahv aliitaji uwangalizi wa Karibu zaidi na kampani yakutoshaMkuu nimepokea ushauri wako nitakaa na wazazi wake tuongee nae maana naisi dogo anajiona katengwa maana wazazi wengi awmuamini kua karibu na rika lake
Tunashukuru kwa ushauri mkuu ila kulea nayo shughuri pevuNadhan hapo ni kumkalisha dogo Chini na kumueleza mabadiliko ya maumbile yake,kumueleza kuwa si ugonjwa Bali mabadiliko ya ukuaji,pili mkishamfahamisha kuhusu Hilo,mumfahamishe ajiweke mbali na kuangalia angalia wanawake,yeye bado ni mdogo hatakiwi na haipendezi Kwa umri wake kujihusisha na kuwatamani wasichana,mwambieni umri ukifikra kutakuwa hakuna tatizo.
Nadhani mtajenga mazungumzo yenu katika mazingira hayo,na msiwe wakali katika mazungumzo yenu,Bali muwe rafiki kwake,Kwa kufanya hivyo atakuwa na Amani na atajenga kujiamini zaidi