MSAADA: Baada ya kutumia dawa ya Pregabalin(ligaba), natokwa na mate Kama manyunyu napozungumza na watu, nifanyeje?

Unashida gani? Maana hizo ni dawa za watu wenye either maumivu makali au ambao wala ulabu wa ambao huwapeleke kuwa na kurukwa akili
 
Pole sanaa ila Pregabalin inatibu matokeo ya Ugonjwa unaoathiri Nerve system tiba sahihi ilibidi unywe Nat b au Neurosupport tabs na hizo ligaba sio ligaba peke ake...!! So kiufupi tatizo limepoa tu ila bado unalo.. Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…