Msaada baada ya mimba kutoka

Kwani hajazaa bado mpaka aogope kuchunguliwa utupu wake na mwanaume?
Aende akasafishe private hospital huwa wanachoma ganzi na wengine nusu kaputi wala hayo maumivu anayoambiwa yapo hatayasikia. Huduma nzuri ni pesa yako tu. Kuzembea zembea kutamcost baadae
 
Yaani mpenzi wako anajiweka kwenye hatari ya kupata maambukizi na wewe unamuangalia tu kisa kasema anaogopa kuchunguliwa?

Haupo serious, unaulizia hadi misoprostol wakati kuna option ushagewa hospitali!!!?
 
Mwambie akasafishwe akiendelea kukaa bila kusafishwa usije ukaleta msiba wife kakata moto..
Kama anaogopa sana hyo speculum (mdomo wa bata) anaweza chomwa sindano ya usingizi, though speculum n lazima iingizwe ili kufanya dilation ya vagina kwa ajili ya kuingiza suction pumb ya kumsafishia...
 
Yaani mpenzi wako anajiweka kwenye hatari ya kupata maambukizi na wewe unamuangalia tu kisa kasema anaogopa kuchunguliwa?

Haupo serious, unaulizia hadi misoprostol wakati kuna option ushagewana hospitali!!!?
Hizo Miso zenyewe zinakuaga na shida ya kutotoa uchafu wote wakati mwingine. Solution hapo ni kwenda kusafishwa tu. Kwanza anapewaje sababu za kijinga hivyo anasikiliza.
 
Hizo Miso zenyewe zinakuaga na shida ya kutotoa uchafu wote wakati mwingine. Solution hapo ni kwenda kusafishwa tu. Kwanza anapewaje sababu za kijinga hivyo anasikiliza.
Mi mwenyewe nimeshangaa ni sababu ya hovyo mno
 
Tatizo lake ni dogo sana. Inategemea mazingira mnayoishi mkuu. Poleni
 
Eti anasema kuna chuma linaitwa mdomo wa bata unaingizwa nacho kwa ajili sijui kama ya kutanuliwa hilo nalo pia analiogopa na daktari ni wa kiume pia ni shida ya pili eti anaona aibu kumuonesha papuchi.
Akiwa anaenda kuzaa anaficha uchi?

Anyway hayo mambo yote kayajulia wapi ama ndiyo mambo ya experience!
 
Huku tandale ni 20000/= tu
 
Mara nyingine mimi huwa naonekana mkatili na mjinga. Sasa kama hataki kusafishwa si umuache ajiozee mwenyewe huko ndani, kwani anamkomoa nani! Kuna mijitu mingine sidhani kama inahitaji ushauri.

Wewe mume wa huyu mdada, umeshamshauri mkeo hataki kukuelewa, muache.
 
Hataki waine uchi,bas msafishe mwenyewe mkuu,sijui hao watoo/mtoto ambae labda ameshazaa alimzalia akiwa amevaa pichu au vip,maana kule lebor wanapush mpk wanakunya kabsa alishakuambiaga?? Mwambie aache ujinga,akasafishwe awe sawa kinyume chake atakosa kbsa kushika mimba au kizaz kunyofolewa
 
Pole kwa mkeo..akubali tu kusafishwa hali aliyonayo sio nzuri..aibu mbele ya uzima!! Ongea nae akuelewe au hata mtafutie daktari wa kike aongee nae vizuri
 
Ni muhimu asafishwe ili awe salama zaidi.

Sababu zake sio za msingi Sana lakini Kama umeamua kuzizingatia basi mpeleke private hospital ambapo unaweza kuchagua mtoa huduma na anaweza kuchomwa sindano za kumfanya asihisi maumivu. Aandaa fungu zaidi very unnecessary.

Poleni wewe na Mke wako kwa kuukosa Ujauzito huo.
 
Ndo maana mimba hazijishikiliii?
Hahahaaa
Jamaa anamdekeza huyo manzi.
Mi nacheka wapi...huyo demu ni msanii kinoma "eti sitaki dokta aone uchi wangu"na blah blah kibao

Unless kama jamaa alimtoa bikra!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…