Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Naona.jamaa angempa tu simuMi nacheka wapi...huyo demu ni msanii kinoma "eti sitaki dokta aone uchi wangu"na blah blah kibao
Unless kama jamaa alimtoa bikra!
Mama apitie comment kisha atoe maamuzi.
What kind of woman is she!
Hajali afya yake!
Anaogopa kuonana na Dr
Hajawahi kuzaa ama hatawahi?
Huyu ni mwanaume wake wa kwanza na wa mwisho!