Msaada baada ya mimba kutoka

Msaada baada ya mimba kutoka

Mi nacheka wapi...huyo demu ni msanii kinoma "eti sitaki dokta aone uchi wangu"na blah blah kibao

Unless kama jamaa alimtoa bikra!
Naona.jamaa angempa tu simu
Mama apitie comment kisha atoe maamuzi.
What kind of woman is she!
Hajali afya yake!
Anaogopa kuonana na Dr
Hajawahi kuzaa ama hatawahi?
Huyu ni mwanaume wake wa kwanza na wa mwisho!
 
Naona.jamaa angempa tu simu
Mama apitie comment kisha atoe maamuzi.
What kind of woman is she!
Hajali afya yake!
Anaogopa kuonana na Dr
Hajawahi kuzaa ama hatawahi?
Huyu ni mwanaume wake wa kwanza na wa mwisho!
Mi nakwambia anajishaua huyo demu...muache asisafishwe aone!
 
Unaanzaje sasa kuumwa akati doc nipo 24/7 ..tena nitakua nakuwahi ..wanasema kinga ni bora kuliko tiba..[emoji3]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]mashamu shamu yako tu, ubakie ivo jana ,leo na kesho yaaan to infinity
 
Misoprostol hufanya kazi vizuri mimba ikiwa ni ya chini ya wiki kumi. Hufanya muscles kuntrast hivyo uchafu kutoka nje.
abortion_pils_in_malaysia.png
 
Anaogopa bure tu. ilimtokea wife tukaenda Burhan (Dar) wakamchoma sindano ya usingizi kwanza kabla ya kumsafisha. nendeni hospitali zenye theater ambazo wanafanya na operations (huku wana wataalam wa usingizi). msiende zahanati za ushchochoroni ambaz hawafanyi upasuaji huko hawana dawa ya usingizi wala wataalamu wa usingizi
 
Huyo mdomo wa bata unafanya kazi kama jerk ya gari, , unapandishwa mpaka daktari apate njia ya kufanyia kazi.

Mkienda private hospital mnaweza kuomba huduma ya daktari wa kike na wewe unaweza kuomba umshike mkono katika process nzima ili kumpa assurance.

Mkuu upo, habari ya uzima
 
Hata Wangu aligomaga hiyo Mkuu Mwanamke yeyote ukimtoa Bikra anaitunza tupu yake labda apitiwe na wengi
Mi nacheka wapi...huyo demu ni msanii kinoma "eti sitaki dokta aone uchi wangu"na blah blah kibao

Unless kama jamaa alimtoa bikra!
 
Back
Top Bottom