Naona.jamaa angempa tu simuMi nacheka wapi...huyo demu ni msanii kinoma "eti sitaki dokta aone uchi wangu"na blah blah kibao
Unless kama jamaa alimtoa bikra!
Mi nakwambia anajishaua huyo demu...muache asisafishwe aone!Naona.jamaa angempa tu simu
Mama apitie comment kisha atoe maamuzi.
What kind of woman is she!
Hajali afya yake!
Anaogopa kuonana na Dr
Hajawahi kuzaa ama hatawahi?
Huyu ni mwanaume wake wa kwanza na wa mwisho!
Unaonaje akikuleta kwako kibonge mtamu?[emoji6]Pole kwa mkeo..akubali tu kusafishwa hali aliyonayo sio nzuri..aibu mbele ya uzima!! Ongea nae akuelewe au hata mtafutie daktari wa kike aongee nae vizuri
[emoji23][emoji23] kibonge mimi sina ujuziUnaonaje akikuleta kwako kibonge mtamu?[emoji6]
Mbn ugonjwa wangu unajua kuutibia ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kibonge mimi sina ujuzi
Umeshasema wako..ugonjwa wako tuMbn ugonjwa wangu unajua kuutibia ? [emoji23][emoji23]
Huhuhuh aki yamama ,kwa stail hii ya kua na personal Doc kama wewe huhuhuuuu sitokaa kuumwa [emoji6]Umeshasema wako..ugonjwa wako tu
Unaanzaje sasa kuumwa akati doc nipo 24/7 ..tena nitakua nakuwahi ..wanasema kinga ni bora kuliko tiba..[emoji3]Huhuhuh aki yamama ,kwa stail hii ya kua na personal Doc kama wewe huhuhuuuu sitokaa kuumwa [emoji6]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]mashamu shamu yako tu, ubakie ivo jana ,leo na kesho yaaan to infinityUnaanzaje sasa kuumwa akati doc nipo 24/7 ..tena nitakua nakuwahi ..wanasema kinga ni bora kuliko tiba..[emoji3]
Misoprostol hufanya kazi vizuri mimba ikiwa ni ya chini ya wiki kumi. Hufanya muscles kuntrast hivyo uchafu kutoka nje.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]mashamu shamu yako tu, ubakie ivo jana ,leo na kesho yaaan to infinity
Nishikilie kama mama ,anyonyeshaye anavyomshikilia mwanawe wakati wa kumyonyesha.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Kukushikilia haitatosha..ni mwendo wa kukun'gan'gania tu kama rubaNishikilie kama mama ,anyonyeshaye anavyomshikilia mwanawe wakati wa kumyonyesha.View attachment 722992
Huhuhuhu kwamba [emoji28]Kukushikilia haitatosha..ni mwendo wa kukun'gan'gania tu kama ruba
[emoji23][emoji23] nakuganda kama superglueHuhuhuhu kwamba [emoji28]View attachment 722998
Mie nitakua gudi ya mbao sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuganda kama superglue
Huyo mdomo wa bata unafanya kazi kama jerk ya gari, , unapandishwa mpaka daktari apate njia ya kufanyia kazi.
Mkienda private hospital mnaweza kuomba huduma ya daktari wa kike na wewe unaweza kuomba umshike mkono katika process nzima ili kumpa assurance.
Ndipo mkuuMkuu upo, habari ya uzima
Mi nacheka wapi...huyo demu ni msanii kinoma "eti sitaki dokta aone uchi wangu"na blah blah kibao
Unless kama jamaa alimtoa bikra!