Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Hilo ni tatizo la kifafaKama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza wapendwa wangu wana JF wenzangu :
Baba yangu ni mgonjwa yapata miaka mitatu,matibabu amepatiwa bila mafanikio,na anatibiwa kwa kubahatisha kwani ugonjwa haujalikani.
Ugonjwa wake ni kuanguka na kukakamaa mwili huku akisaga meno,tatizo hili humtokea baada ya mwezi au miezi miwili.
Naombeni msaada wenu wa mawazo,ushauri kujua ni tatizo gani au kama kuna mtu alisha wahi uguza mgonjwa wa hivi.
Ni zaidi ya maumivu kwangu kumwona Baba vile nisaidieni Ndugu zangu asanteni.
Kwenye ukoo Hanna,hotokwi na haja ndogoJe, akianguka anatokwa na haja ndogo?, je kwenye ukoo au familia yenu uliwahi kusikia kama hali kama hiyo ilishawahi kumtokea mtu huko nyuma?
Jinsi ulivyoeleza inawezekana baba yako ana dalili za msingi za ugonjwa wa kifafa. Ila endeleeni kutafuta uhakika hospitali kubwa
Kama atapata nafuu ina maana atatakiwa kuendelea kutumia kila siku...Kwa muda gani Mkuu?asante
Kwenye ukoo Hanna,hotokwi na haja ndogo
mkuu ikonda pale saizi ni jina tu, ni pa kawaida sana japo wanajali sana wagonjwa, pia x ray haitoshi kabisa hapo....., CT scan ya ubongo ingefaa zaidi, na inapatikana hospital chache kama ulivyoshauriwa hapo juu. pole sana,Ikonda walipomchunguza kichwani kw x-ray hawakuona chochote zaidi walitoa dawa kuahidi wanapeleka picha India kwa uchunguzi zaidi
Bado huyu mtu yupo mbooona nasikia.....wafuasi wake wanasema atarudi tena kama Yesu?Hilo ni tatizo la kifafa
Mpeleke kwa Baba Gody mwanza akaombewe
Mama yangu alishampeleka mtu aliyekuwa na tatizo ka hilo akaombewa na sasa ni mzima
Kama hospitali wameshindwa huna jinsi
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza wapendwa wangu wana JF wenzangu :