Hata Mimi imenishangaza kidogo.
Namuuliza swali fupi analeta maelezo mengi,mara atume picha,mara atume video za wachina.
Kama picha na video hata Mimi Niko nazo kwa simu yangu na haiwezi kuwa kigezo Cha utaalamu wangu.
Wewe unajua nini pimbi,amebwabwaja sana ila hatoi maelezo ya kitaalamu.Basi unakichwa kibovu..
Mbona jamaa kaeleza kwa kina sana..
Wewe ukitaka details zaidi..tafutaneni pvt
uwe unasoma kwanza kabla huja comment.Hujaona sehemu nilipo andika capacity?Hujaona sehemu niliyo andika kuwa mimi sio muuzaji wala sifanyi kiwandani?Soma kwanza elewa kabla hujaweka maneno yako,itakusaidiaUkiona mtu anazunguka maelezo mepesi ya kutaja tu ni chupa 100 au 2 kwa saa ujue huyo ni dalali ndo maana kakimbia kusema ali-record wakiwa china.
Hata Mimi imenishangaza kidogo.
Namuuliza swali fupi analeta maelezo mengi,mara atume picha,mara atume video za wachina.
Kama picha na video hata Mimi Niko nazo kwa simu yangu na haiwezi kuwa kigezo Cha utaalamu wangu.
Kwa mfano mimi hapa nimejifunza kitu kipya,mwanzo nilijua kwenye viwanda vya maji,chupa huwa ziko tayari na wanafanya kuzijaza maji,kumbe kuna kitu kinaitwa blow machine kama sijakosea ambako chupa inaundwa hapo hapo na kisha kujazwa maji,,kama nilivyoelewa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Zile zinaitwa preforms na sio test tube.Yes mkuu,inakuwa ni kama (test tube za shuleni) kama unaweza kukumbuka mkuu.Hizo ndo zinawekwa kwa machine ya kublow ambayo itakuwa imetengenezwa kluingana na umbo la chupa unayotaka.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Zile zinaitwa preforms na sio test tube.
Na hutengenezwa kwa mashine zinazoitwa Injection mold kwa kutumia polymers materials.
So mwenye kiwanda ataamua hizo preforms azitengeneze hapo kiwandani kwake au aagize kutoka kwenye kampuni nyingine.
Basi unakichwa kibovu..
Mbona jamaa kaeleza kwa kina sana..
Wewe ukitaka details zaidi..tafutaneni pvt
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38]wewe utanifundisha nini hata jina la preform hujui unaita test tube.kweli mkuu ngoja niachane na wewe.Naona uwezo wako wa kufikiri ni mdogo.Hujaona kama nimeweka kwenye mabano?Hujasomakuwa niliye mquote alikuwa hafahamu hilo ndo nikaandika kumsaidia yeye aelewe?Acha kukurupuka itakusaidia sana.Wewe huna lolote la kunifunza mimi kwenye viwanda vya maji na juice.Narudia tena huna lolote unaloweza kuniambia nisilo lijua,and i guess wewe ndo unaanza kujifunza so kuwa mpole tulia upate elimu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38]wewe utanifundisha nini hata jina la preform hujui unaita test tube.
Utawapata maamuma tu ila sio waliopitia kwenye hiyo fani.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38]wewe utanifundisha nini hata jina la preform hujui unaita test tube.
Utawapata maamuma tu ila sio waliopitia kwenye hiyo fani.
Usionyeshe makararasi elezea ulifanya kazi gani Hadi ukalipwa hiyo hela?acha kubwabwaja.weka kazi uliyo ifanya.Nisijue preforms?by the way nikufundishe kuwa ugumu wa chupa unatokana na g za preform yako.Nimeweka link huko juu ya uzi mwingine nilioelezea viwanda vya maji na juice.(Sijaanzisha huo uzi,nimechamgia).Nakuwekea invonce ya kazi niliyofanya tena ilikuwa huko 2017 ,pengine hata ulikuwa hujui kuna viwanda vya maji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],ila mimi hapo nilishajia kitambo na nikaaminika kupewa kazi ya mamilioni.
View attachment 1205424
Usionyeshe makararasi elezea ulifanya kazi gani Hadi ukalipwa hiyo hela?
Mkuu ni pm namba yako kama hutojali.mkuu kiwanda kitategemea na facts mbalimbali.Kama
1. filling machine ina capacity kiasi gani,(inajaza chupa ngapi kwa saa).
2.Unnataka tank la ukubwa kiasi ani
3.Blowing machine ina uwezo gani
4.unataka full automated au semi automated
5.labeling machine utanunua au utaprint lables kwa kiwanda kingine
6.utakuwa una pack maji yako kwa nylon (utahitaji shrinking machina) ama utapack kwenye box
..........................
Nimefanyya project na watu tofauti kwa kuwanunulia hiz hii mitambo(complete ) inchini China (Bado nipo hukuπππ)
Hii ni moja ya kazi ya mtu mmoja anapatikana Ruvuma.
View attachment 1204932hii ni filling machine
View attachment 1204933hii ni semi automatic blowing machine.Ni ndogo inablowchupa mbili kila muda
View attachment 1204938hili ni tank (dogo)
View attachment 1204940Aliamua kuprint lable China (kwa kuanzia)
kuna vitu vingi ambavyo lazima uvizingatie ili kujua gharama halisi.
Ukitaka kiwanda kinaeleweka ,complete system gharama zinaanzia 50,000$.
kwa wanao hitaji machine aina zote au generators,machine za kilimo aina zote,za kupura mpunga,za kukamua mafuta kama ya alizeti,rubber rollers, and so many,unaweza ukanicheki.(siuzi ila nimefanya kazi nyingi za watu kwenye viwaView attachment 1204932View attachment 1204933View attachment 1204938View attachment 1204940nda hivi)Ama kama ukija China ukataka viwanda ambavyo havita kuangusha unaweza ukawasiliana nami.
Mimi ni expert na Nina miaka zaidi ya saba na nina certificates za haya mambo sio dalali Mimi.nikuambie kazi niliyofanya itakusaidia nini?Nimekuonyesha tu hiyo ujue kuwa niko kwenye gemu hii muda mrefu sana so ninavyoviongea navifahamu.umenikosea sana heshima kuniambia sifahamu preforms,ndo mana nimekuweka prefoma invoice ya kazi nimefanya more than two years ago.Kwa taarifa tu complete sytem ya water production nimeleta Tanzania 2014.Ulikuwa wapi by that time? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahaha mkuu acha kunichekesha.Wewe unaringia certificate?Mimi sijasema muuzaji wa hizi mashine. kama huwa unasoma mistari yote ya maandishi niliyoyaandika huko nyuma kwenye huu uzi ungekuwa unafahamu hili.Ndio maana nakwambia unakurupuka kiongozi.Nimekwambia complete system ya kwanza nimeleta Tanzania 2014.Kama nilileta 2014 nilianza kuzifahamu hizi mambo the way back maybe hata kabla hujaenda kutafuta hiyo unayo iita certificate π πMimi ni expert na Nina miaka zaidi ya saba na nina certificates za haya mambo sio dalali Mimi.