mkuu kiwanda kitategemea na facts mbalimbali.Kama
1. filling machine ina capacity kiasi gani,(inajaza chupa ngapi kwa saa).
2.Unnataka tank la ukubwa kiasi ani
3.Blowing machine ina uwezo gani
4.unataka full automated au semi automated
5.labeling machine utanunua au utaprint lables kwa kiwanda kingine
6.utakuwa una pack maji yako kwa nylon (utahitaji shrinking machina) ama utapack kwenye box
..........................
Nimefanyya project na watu tofauti kwa kuwanunulia hiz hii mitambo(complete ) inchini China (Bado nipo huku
🙂🙂🙂)
Hii ni moja ya kazi ya mtu mmoja anapatikana Ruvuma.
View attachment 1204932hii ni filling machine
View attachment 1204933hii ni semi automatic blowing machine.Ni ndogo inablowchupa mbili kila muda
View attachment 1204938hili ni tank (dogo)
View attachment 1204940Aliamua kuprint lable China (kwa kuanzia)
kuna vitu vingi ambavyo lazima uvizingatie ili kujua gharama halisi.
Ukitaka kiwanda kinaeleweka ,complete system gharama zinaanzia 50,000$.
kwa wanao hitaji machine aina zote au generators,machine za kilimo aina zote,za kupura mpunga,za kukamua mafuta kama ya alizeti,rubber rollers, and so many,unaweza ukanicheki.(siuzi ila nimefanya kazi nyingi za watu kwenye viwa
View attachment 1204932View attachment 1204933View attachment 1204938View attachment 1204940nda hivi)Ama kama ukija China ukataka viwanda ambavyo havita kuangusha unaweza ukawasiliana nami.