Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
filling line unazo?Hizi hapa ni za kutengeneza spirit Gin,tenki ya maji,mixer tenki, filling station na meza.factory ndogo ya kinywaji pombe vodka karibu wadau zote hizo ni stainless steel tenki Lita elfu moja.budget 19milion.
Ndio mkuu zipo semi autofilling line unazo?
Zina uwezo gani per hour?Ndio mkuu zipo semi auto
+255673315821,+255754315821 nicheki watzap nikurushie picha na videoNdio mkuu zipo semi auto
Zina uwezo wa kujaza chupa elfu moja ya Lita moja Kwa saa Kwa hiyo Lita elfu moja Kwa saaZina uwezo gani per hour?
Na naweza kuona picha?
Under license kwa hapa bongo unaifanya vipi?Usisahau marketing kabla ya yote..., ni kipi kitafanya watu wanywe yako na sio Uhai; Kilimanjaro, Dasani n.k. ?
Kwa upeo wangu mdogo naona labda kuna gap kidogo la kuwafanyia packaging watu wengine au wewe kabla haujaamua kwenda mazima mazima angalia uwezekano wa kutengenezewa under license..., Mradi mkubwa kama huu sio wa kujaribisha jaribisha ni kufanya ukiwa na uhakika
Sio kweli china mashine zipo mpaka usd30000Milioni 140 ni mashine moja tu tena ya kichina.
Kwenye packaging line Kuna mashine Kama 5 hivi,hapo bado hujanunua matank, generators,hujachimba visima.
Sio shuhuli ndogo