Msaada: Bajeti ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa inaweza kuwa kiasi gani?

Msaada: Bajeti ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa inaweza kuwa kiasi gani?

Hizi hapa ni za kutengeneza spirit Gin,tenki ya maji,mixer tenki, filling station na meza.factory ndogo ya kinywaji pombe vodka karibu wadau zote hizo ni stainless steel tenki Lita elfu moja.budget 19milion.
filling line unazo?
 
Mpya hii ya kuchuja maji, osmosis plant na filling pamoja semi auto ya filling
 

Attachments

  • Screenshot_20240620-113924.jpg
    Screenshot_20240620-113924.jpg
    424.4 KB · Views: 19
Kama unapanga kufungua kiwanda kidogo Cha maji ya chupa njoo uone mwenyewe ofisini kwangu BOMA ng'ombe Kilimanjaro utaona umeipendaa basi mashine utapata zote unaxoitaji.kuchuja, filling station semi auto Kwa wale wa viwanda vidogo.numba zetu ni 0754315821, tunashukuru Kwa baadi kututembelea na kuona mashine.kuna moja hapo mpya ya kuchuja maji na filling semi auto combined Kwa hiyo unanunua hiyo moja tuu inatosha
 

Attachments

  • IMG_20240521_100211_822.jpg
    IMG_20240521_100211_822.jpg
    2.4 MB · Views: 21
  • Screenshot_20240620-113924.jpg
    Screenshot_20240620-113924.jpg
    424.4 KB · Views: 21
Inafanya kazi hivi,zipo bongo wakuu usiende mbali njoo utapata mashine zote ya kujaza pombe Kali,maniy.juice nktk.tupigie simu.
 
Usisahau marketing kabla ya yote..., ni kipi kitafanya watu wanywe yako na sio Uhai; Kilimanjaro, Dasani n.k. ?

Kwa upeo wangu mdogo naona labda kuna gap kidogo la kuwafanyia packaging watu wengine au wewe kabla haujaamua kwenda mazima mazima angalia uwezekano wa kutengenezewa under license..., Mradi mkubwa kama huu sio wa kujaribisha jaribisha ni kufanya ukiwa na uhakika
Under license kwa hapa bongo unaifanya vipi?
 
Milioni 140 ni mashine moja tu tena ya kichina.
Kwenye packaging line Kuna mashine Kama 5 hivi,hapo bado hujanunua matank, generators,hujachimba visima.
Sio shuhuli ndogo
Sio kweli china mashine zipo mpaka usd30000
 
Njoo BOMA ng'ombe Kilimanjaro region upate mashine ya pombe Kali,kuchuja maji ya chupa na tenki za stainless steel tupigie simu 0673315821
 

Attachments

  • IMG_20250205_112822_164.jpg
    IMG_20250205_112822_164.jpg
    298.2 KB · Views: 4
  • IMG_20241102_125928_899.jpg
    IMG_20241102_125928_899.jpg
    358.7 KB · Views: 4
  • IMG_20240806_185526_596.jpg
    IMG_20240806_185526_596.jpg
    540.1 KB · Views: 4
Back
Top Bottom