muta ngegi
Senior Member
- Sep 7, 2016
- 194
- 165
Habari Wanajf,poleni na majukumu.
Naomba kujuzwa bei ya maharage hapo ulipo.Natanguliza shukrani.
Naomba kujuzwa bei ya maharage hapo ulipo.Natanguliza shukrani.
Tani 1.5 mkuu!Una tani ngapi mkuu.
MGC
Ulipo wapiNilipo mimi arage la njano gololi bei ya reja reja ni 2000 mkuu
$ There's clear light at the end of the Tannel $
Mie nina nusu tani! Tufanye biashara sasa mkuuUna tani ngapi mkuu.
MGC
Kilogram moja ni kiasi gani cha pesa?Mie nina nusu tani! Tufanye biashara sasa mkuu
Utanipa 1700 kwa kilo!Kilogram moja ni kiasi gani cha pesa?
MGC
Kama hamtanii mngesema mpo wapi na
safiri ni juu ya nani ingekua poa zaidi