ZE DONE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2012
- 213
- 330
Du! Kwa hizi statement utalima kwa jembe la mkono mpaka dunia igeuke ndugu. Jaribu kujifunza hata abc lugha ya biashara itakusaidia maishani.Usafiri ni juu yako ukinunulia shamba ,ununue mzigo shamba kwangu afu nikusafirishie tena!