Msaada: Bei ya Maharage ipo kiasi gani katika maeneo ulipo?

muta ngegi

Senior Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
194
Reaction score
165
Habari Wanajf,poleni na majukumu.
Naomba kujuzwa bei ya maharage hapo ulipo.Natanguliza shukrani.
 
Habari Wanajf,poleni na majukumu.
Naomba kujuzwa bei ya maharage hapo ulipo.Natanguliza shukrani.
 
Wanangu mie nna kilo 500 ya Rozi. Mwenye hela tufanye biashara
 
Kama hamtanii mngesema mpo wapi na usafiri ni juu ya nani ingekua poa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…