Du! Kwa hizi statement utalima kwa jembe la mkono mpaka dunia igeuke ndugu. Jaribu kujifunza hata abc lugha ya biashara itakusaidia maishani.Usafiri ni juu yako ukinunulia shamba ,ununue mzigo shamba kwangu afu nikusafirishie tena!
Umenena kweli lugha nzuri ni faida kwenye biashara ,lakini jua wakti mwingine biashara haitaki kubembeleza sana sana .Du! Kwa hizi statement utalima kwa jembe la mkono mpaka dunia igeuke ndugu. Jaribu kujifunza hata abc lugha ya biashara itakusaidia maishani.
mbinga iko mkoa gani,wilaya gani?Juzi nilikuwa mbinga wanauza kilo moja ya harage la njano 1200. Hiyo ni bei ya Shamba.
Ruvumambinga iko mkoa gani,wilaya gani?
Mkuu habari!Upo Songea sehemu gani?Anaehitaji maharage ya njano na mekundu nichek 0652299160 location Songea View attachment 1071853
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari Mkuu,kazura ipo sehemu gani?