Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 563
- 1,567
Hii ni bei ya wapi kiwandani au dukani?Laki 4
Bei dukaniHii ni bei ya wapi kiwandani au dukani?
Hapana nimeuliza tu si-kwa ubaya unaweza kuta hiyo ni bei ya kiwandani siyo dukani, nikaondoka na point ya bei hiyo kumbe si sawa kwa rejareja. Ndio maana nikauliza hivyo. SamahaniBei dukani
Sasa utafata tank 1 tu kiwandani?
Hapana ndugu! Unajua kuna bei mbili, kiwandani na wauzaji wa rejareja, maana naambiwa hizi zinauzwa bei kubwa sana huku mkoani milioni nasehemu au kasoro ndio maana nikataka nijue pia!Mnunuzi WA rejareja nae anataka Bei ya kiwandani, haya ndo tumewafukuzisha nayo wachina k'koo
Laki 4 unapataHapana nimeuliza tu si-kwa ubaya unaweza kuta hiyo ni bei ya kiwandani siyo dukani, nikaondoka na point ya bei hiyo kumbe si sawa kwa rejareja. Ndio maana nikauliza hivyo. Samahani
Andaa laki 3 ila ni chini ya laki 3. Inacheza around 210,000 hadi 260,000 hapo mara ya mwisho nilipoulizia.Habari wana JF,
Naomba msaada kwa yeyote aliye wahi kununua au anayefahamu bei za tanks za Kiboko (Polytank) za kuhifadhia maji – hasa zile za ujazo wa 2000 L liters au zaidi.
Nimepitia kurasa zao za Instagram na Facebook (@kibokoplasticstz) lakini hawajaweka bei, na hata namba zao za simu kupokea ni changamoto.
Ningependa nijue bei kabla sijaenda kununua ili nijipange mapema – kama nitakuwa na pungufu niweze kuongeza fedha mapema badala ya kurudi rudi.
Kama kuna wakala, muuzaji wa jumla, au hata mtu aliyewahi kuagiza akiwa mikoani na anajua gharama ya usafiri au bei halisi aliyolipa, tafadhali naomba anisaidie.
Pia kama unajuana na wakala wao au sehemu ya karibu nisaidie nifahamu bei nashida nalo sana, nitashukuru sana.
Wanakulipia na bili ya maji miaka 10 kwa hii bei au? Mzee mbona unaweka chajuu kikubwa sana.Laki 4
Lita 2000 hata 350 hapatiAndaa laki 3 ila ni chini ya laki 3. Inacheza around 210,000 hadi 260,000 hapo mara ya mwisho nilipoulizia.
Ndo laki 4 bei zake mkuuWanakulipia na bili ya maji miaka 10 kwa hii bei au? Mzee mbona unaweka chajuu kikubwa sana.
Mmmmhmn mimi nilinunua la lita 5000 laki saba na 80 hapo hadi usafiri kuniletea home. Nakumbuka niliulizia la lita 2000 nikaambiwa bei haikufika laki 3.Ndo laki 4 bei zake mkuu
Hiyo 300k labda Lita 1000Mmmmhmn mimi nilinunua la lita 5000 laki saba na 80 hapo hadi usafiri kuniletea home. Nakumbuka niliulizia la lita 2000 nikaambiwa bei haikufika laki 3.
Ngoja nitakwenda kununua lingine soon nitaleta bei zake hapa.Hiyo 300k labda Lita 1000
Pamoja mkuuNgoja nitakwenaa nunua lingine soon nitaleta bei zake hapa.
Wabongo always hudhani kununua kitu dukani kwa mfanyabiashara wa rejareja wanapigwa hawajui huwa kuna bei elekezi viwanda huwa vinatoa kumlinda mteja na muuzaji.Mnunuzi WA rejareja nae anataka Bei ya kiwandani, haya ndo tumewafukuzisha nayo wachina k'koo
m nlfata langu kiwandan lita 3000 kwa lak 5 na pointBei dukani
Sasa utafata tank 1 tu kiwandani?